Semina ya kuwaelimisha makundi maalum ya utekelezaji wa sheria ya usalama mtandaoni
14 Feb 2018

Semina ya kuwaelimisha makundi maalum ya utekelezaji wa sheria ya usalama mtandaoni

 

 

Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Technolojia Mhe. Makame Mnyaa Mbarawa, Mkurugenzi wa Mawasiliano Zanzibar Dk. Mzee Suleiman Mndewa  pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Selina M. Lyimo  wakiwa katika semina ya kuwaelimisha makundi maalum ya utekelezaji wa sheria ya usalama mtandaoni iliofanyika katika hoteli ya Ocean View Zanzibar.

 

Baadhi ya washiriki wakiwa katika hali ya umakini kupokea mafunzo  muhimu ya kuwajengea uelewa mzuri wa Sheria za Usalama wa Mtandao.

 

Last modified on Wednesday, 06 June 2018 06:54

Kurasa za Karibu

  • Habari na Matukio
  • Dira na Dhamira
  • Majukumu ya Idara
  • Vitengo vya Idara

Mawasiliano

Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
P.O.Box 266
ZANZIBAR
TANZANIA

AU

190 FUMBA ROAD
POSTCODE: 71201
ZANZIBAR, TANZANIA

email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.