WARSHA YA KUUNDA MPANGO MKAKATI WA (STRATEGIC PLAN) IDARA YA MAWASILIANO 14-16 DEC 2015
12 Feb 2018

WARSHA YA KUUNDA MPANGO MKAKATI WA (STRATEGIC PLAN) IDARA YA MAWASILIANO 14-16 DEC 2015

WARSHA YA KUUNDA MPANGO MKAKATI WA (STRATEGIC PLAN) IDARA YA MAWASILIANO 14-16 DEC 2015

Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Miundo Mbinu na Wawasiliano Ndugu Tahir M.K Abdullah akifunguwa wasrsha ya uandaaji wa mpango mkakati (Strategic Plan) wa idaya ya Mawasiliano, iliodhaminiwa na ADB (African Development Bank)  na kufanyika katika ukumbi wa Ocean View Zanzibar.

Mkufunzi  Ndugu Chris Tumwine akitoa mada kwa washiriki wa warsha  juu ya  mabadiliko ya muundo wa  Idara ya Mawasiliano .

Mkufunzi  Ndugu Chris Tumwine akitoa mada kwa washiriki wa warsha  juu ya  mabadiliko ya muundo wa  Idara ya Mawasiliano .

Picha ya pamoja ya baadhi ya washiriki wa warsha na wakufunzi.

Last modified on Wednesday, 06 June 2018 06:36

Kurasa za Karibu

  • Habari na Matukio
  • Dira na Dhamira
  • Majukumu ya Idara
  • Vitengo vya Idara

Mawasiliano

Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
P.O.Box 266
ZANZIBAR
TANZANIA

AU

190 FUMBA ROAD
POSTCODE: 71201
ZANZIBAR, TANZANIA

email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.