Sample Sidebar Module

This is a sample module published to the sidebar_top position, using the -sidebar module class suffix. There is also a sidebar_bottom position below the menu.

Sample Sidebar Module

This is a sample module published to the sidebar_bottom position, using the -sidebar module class suffix. There is also a sidebar_top position below the search.
Kitengo cha minara

KITENGO CHA MINARA

Kitengo hichi kina jukumu la kusimamia ujenzi na utunzaji wa minara ya mawasiliano hapa Zanzibar. Kitengo hichi kinajumuisha wajumbe kutoka taasisi mbali mbali zikiwemo.

  1. Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano
  2. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
  3. Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati 
  4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  5. Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
  6. Mamlaka ya Viwanja vya ndege
  7. Wizara ya habari  

Miongoni mwa kazi zinazofanywa ni pamoja na kufanya ukaguzi wa maeneo mapya yanayotaka kujengwa minara, na kutoa ruhusa ya ujengaji huo.  

 

Kurasa za Karibu